A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

Chameleone >> Tubonge Lyrics


Intro 
Tubonge 
Chamili anaomba tubonge 
Mungu baba...
Ah we long de 
Gospel time now
Oh Lord


Verse 1
Mi na wewe wa kweli
Katika wote 
Ninaye ni wewe
Ana ni penda kamili
Kila kipimo ananipenda hakuna kiyasi
Ningependa nikuone ni kupe
Vyote vyangu 
Nikupe chochote 
Unachotaka chochote upate
Lakini sina namna yakukupata 


Bridge
Ungekuwa na nafasi unaishi hata ingekua mbali vipi
Ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter
Lakini hata sura ulificha


Chorus
Njoo... 
Oh...
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo... 
oh oh
I don't know what to do to do
I'm waiting for you
Njoo... 
Oh oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana
Njoo...
Oh oh
Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli


Verse 2
Rafiki yangu nimempa sasa tuzo
Ana siri zangu nyingi siogpi mateso
Hao wabishi hawanitishi na mawazo
Nina ye... nina ye...
Sisi wangu sasa mi sitaki fujo 
Nikiwa nayeye, Yesu kupiga devil
Paddy Man ongeza base na trebble
Ni mtaje ni kama ni naimba tangazo


Bridge


Chorus


Repeat Intro


Verse 3 
Njo nikupe chochote unataka
Hatujakutana mi nakufuata
Njoo nikukaribishe kwangu 
Njoo nikupikie chakula tamu
Naomba nikuonyeshe na watoto wangu
Njoo nikuonyeshe baba mama wangu
Nikuonyeshe marafiki zangu
Na mi, na moyo wangu


Chorus
Correct These Lyrics

Latest Chameleone Lyrics
Share These Lyrics
Share Your Views